Swahili proverbs
Wikimedia list article
Proverbs of the Swahili language
Proverbs (Alphabetical)Edit
- Dhamiri safi ni tandiko laini
- A clear conscience is a soft mat (or pillow)
- Dua la kuku halimpati mwewe
- The prayer of the fowl does not bother the hawk
- Fadhila ya punda ni mateke
- The gratitude of a donkey is a kick
- Fuata nyuki ule asali
- Follow the bee so that you may eat honey
- Haraka haraka haina baraka
- Hurry, hurry, has no blessings
- Hisani haiozi
- Kindness does not spoil
- Msinji ukiinama hauna nguvu, usiushtaki ukuta ukianguka
- A foundation that is not level is not strong, don't blame the wall if it falls down
- Ukijifanya asali nzi wote watakula
- If you make yourself (like) honey all the flies will devour you